Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat
Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi.
Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital.
Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo...
Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi?
Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
Ieleweke kuwa Waziri anapotangaza msamaha wa riba katika malimbikizo ya kodi ya ardhi mdaiwa anaweza asiwe na uwezo wa kifedha kipindi hicho lakini uwezo huo wa kulipa ukawepo mwaka unaofuata.
Kwa mantiki hiyo ni vizuri Waziri wa Ardhi atoe muongozo wa kufuta riba kwenye malimbikizo ya kodi ya...
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023.
Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
Ni wananchi wanaopatikana ndani ya mkoa wa Pwani, Kibaha mji katika mtaa wa Viziwa ziwa. Hari si shwari hasirani, unyanyasaji huu na tamaa za viongozi huko chini inawahangamiza wananchi wa Tanzania na raia pasipo kuwepo na mhamiaji.
Ni kaeneo kadogo kakiitwa "VIMISA". Hapa ndo panapoongelewa...
Habari wanajamvi,
Siku ya juzi tarehe 19 september 2023 tumeletewa notisi ya malipo ya kodi ya ardhi (nimeambatanisha) ikiamrisha tulipe kodi ya ardhi jumla ya shilingi 244,700/=tshs
Kodi ya mwaka huu ni 7,500/=tshs
Baada ya kuulizia afisa mtendaji yeye anadai jumla ya hilo deni ni tangu...
UPDATE: Aliyefariki ni Isore Mtegetu Marwa (28) Mkazi wa Mekomariro Wilaya ya #Bunda alijeruhiwa wakati wa vurugu zilizohusisha baadhi ya Wakazi wa Mekomariro dhidi ya Wananchi wa Kijiji cha Ryaming’orori Wilayani Serengeti ambapo pia watu wengine kadhaa wakijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie.
Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda, naomba jamii ijue kuwa kuna ugomvi wa ardhi kati Wananchi wa Kijiji chetu na Wananchi wa Kijiji cha Wilaya ya Serengeti, mpaka sasa kuna ugomvi mkubwa, watu wamechomana mishale.
Huu mgogoro hauwezi kumalizika kwa kuwa kuna viongozi au...
Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa wawekezaji wa kiarabu au wa kizungu kuchimba madini hayo , huku wewe ukitimuliwa kwa mijeledi au hata...
Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake .
Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ?
Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa.
Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.
Jamaa ni mtu wa dili...
Warusi wanatapika ardhi ya watu, inawatoka puani tena kwa damu na vifo vya maelfu ya wanajeshi a Urusi....
Ukraine said on Monday that its military forces successfully regained control over the southeastern town of Robotyne and were trying to push further south in their counteroffensive...
Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga.
Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa...
Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
Siku chache tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. #AngelineMabula abaini Wamiliki 65 hawajajitokeza kuchukua Hati zao Wilayani #Makete, Njombe, Naibu Waziri wake #GeophreyPinda amekutana na hali hiyo mkoani Kilimanjaro.
Pinda amebaini hali hiyo baada ya kufanya ziara katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.