ardhi

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ikitokea likaja wazo kuwa uchague kati ya kubinafsisha ardhi, bandari, mbuga, kwa uchukuaji uitwao uwekezaji na ikulu, utachagua kipi?

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar). Tangu tuanze sheria za...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  3. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

    Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu. Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi. Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi. Msaada wa utambuzi
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wanayanga leo mlikuwa na Matumaini ya kuchukua Kombe kwenye ardhi ya Mwarabu?

    Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza. Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela. Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo; 1. Hotelini walipofikia Yanga. 2...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  11. monakule

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Matumizi Bora ya Ardhi Yapangwe ili Kuondoa Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE JAFARI WAMBURA ATAKA MATUMIZI BORA YA ARDHI YAPANGWE ILI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Chanzo cha migogoro ya Ardhi nchini mojawapo ni kupitwa kwa Sera ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ambayo ni ya Mwaka 1995 haiendani na kasi ya uzalishaji na shughuli za kiuchumi za wananchi...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Maandalizi ya kuanza kukomboa ardhi yao, Ukraine waanza kula viapo

    Ukraine waanza kula viapo vya mapigano ambayo yatarejesha ardhi yao....
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

    Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

    MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI "Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi. "Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi Kutoa Hakimiliki za Kimila 520,000 mwaka 2023/24

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na itasajili Miamala ya Hatimiliki na Nyaraka za Kisheria 100,000. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Binafsi nichukue nafasi hii kuwashukuru Halima Mdee na Jafari Chege kwa kuwasemea Wananchi wa maeneo haya kuhusu manyanyaso ya Serikali dhidi yao. Nianza na Kata ya Nyatwali. Kata hii ina vijiji vitatu Tamau, Nyatwali na Serengeti. Vijiji vyote viko kisheria na vilianzishwa tangu mwaka 1972...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie tusiporwe ardhi yetu na serikali yako

    Ni mgogoro wa muda mrefu toka 1974 wa kipande cha ardhi cha hekari 67 uliotatuliwa na Kumalizwa na Mheshimiwa Lukuvi aliyekuwa Waziri wa ardhi. Taasisi ya kilimo Uyole ilishindwa kuwalipa fidia wananchi wa Sae jijini Mbeya zaidi ya 300 katika ardhi waliyokuwa wakiitumia tokea mababu kwa kilimo...
Back
Top Bottom