ardhi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ardhi shamba No 7 Mambegwa-Kilosa ni bomu linalotoa Moshi

    Kuna taarifa zinazoenea kuwa, wakulima waliokuwa wakimiliki mashamba katika shamba namba saba lililopo ktk kijiji cha mambegwa wilayani kilosa kunyang'anywa mashamba yao. Ingawaje wakulima hao walipewa mashamba hayo kihalali mwaka 2009 yakiwa ni mapori na misitu minene, lakini inasemekana kuna...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

    Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame. Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitumie mbolea gani?

    Nitumie mbolea ya aina gani katika ardhi ya kichanga?
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan

    Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan. Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba. Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja. Mito 15...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Urasimishaji wa Ardhi - namna zuri ya kuliongezea uharaka na ufanisi

    UTANGULIZI: Kwa muda sasa serikali imetangaza kuendelea na zoezi la urasimishaji ardhi kwa maeneo yasiyopimwa (squatters). Kufanikisha hilo, serikali imekuwa ikishirikiana na makampuni binafsi ya ardhi kufanya sehemu kubwa ya kazi hizo. Watu katika kampuni hizo wanalipwa kutoka kwa michango ya...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

    Rais Dkt John Magufuli anaongea na Wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais Magufuli anaendelea na hotuba na...
  7. Thom Munkondya

    JamiiForums Tanzania Surveyormunkondya sasa nipo jamiiforum kwa ajili ya elimu juu ya masuala ya ardhi

    Ahsante sana ndugu zangu kwa kuniomba nijiunge jamiiforum ili pia niweze kuendelea kutoa elimu juu ya masuala mbali mbali ya ardhi. Na sasa nimejiunga rasmi na jukwaa hili kwa ajili ya kuendelea kuwaelimisha watanzania wenzangu ili kuepukana na matatizo mbali mbali ya ardhi kama; -kununua eneo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji. Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa...
Back
Top Bottom