ardhi

  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakataa kutoachia kipande chochote cha ardhi

    Ukraine imeijibu China ambayo inajaribu mbinu za kuishawishi Ukraine iachie kipande cha ardhi kwa Urusi ili yaishe. Hivi mnaoishabikia Urusi kwenye harakati zake za kuiba ardhi ya Ukraine mnajihisi vipi, hususan wale huwa mumejiaminisha mambo ya kidini, kwa ardhi yote hii ya Urusi bado...
  4. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Programu Tatu Ambazo Zitakusaidia Kuboresha Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. Ninawafikia wateja wangu kwa njia kuu ya kuwashirikisha makala kupitia blogu...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua zaidi ya watu 130

    Hali hiyo imetokea katika Majimbo yaliyopo Kaskazini na Magharibi ikielezwa mvua kubwa ilinyesha usiku wakati watu wengi wakiwa wamelala na kuwa chanzo cha kusababisha vifo vingi. Viongozi wa Serikali za Mtaa wamesema nyumba nyingi zimeharibika na nyingine zimeanguka wakati barabara kuu katika...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa: Wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe fidia ya ardhi yao

    MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisisitiza sana wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

    Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu! Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote! Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa Hati Miliki za Ardhi, hali ipoje huko kwenu?

    Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani. Wapo wananchi ambao wamemaliza kulipia viwanja vyao kwa takribani miaka minne sasa, lakini hadi sasa hawajapatiwa...
  11. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kumamoto nchini Japani waadhimisha miaka 7 tangu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili la ardhi

    Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aloyce Kwezi apigania ardhi ya vijiji vya Usinga na Ukumbikakoko

    MHE. ALOYCE KWEZI APIGANIA ARDHI YA VIJIJI VYA USINGA & UKUMBIKAKOKO ILI WASINYANG'ANYWE Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Mhe. ALOYCE ANDREW KWEZI akiwa Bungeni Dodoma amesema ardhi ya Vijiji vya Usinga na Ukumbikakoko inapaswa kuendelezwa kama ambavyo Rais Samia na timu ya Mawaziri 8...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

    India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata kipande, na mataifa yenyewe na makubwa na kila moja lina silaha za nyuklia. Hawa wanyukane tu maana...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugu wamuua dada yao wakigombea ardhi

    Wanaume wanne wamekamatwa kwa madai ya kumuua dada yao waliompiga hadi kumsababishia umauti kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi waliokuwa nao kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea siku ya Jumamosi usiku, wilayani Rukiga nchini Uganda, tovuti ya Monitor ya Uganda imeripoti. Watuhumiwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm]. Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi. ======= Armed groups breach Kenyatta family-owned Northlands City, loot property Armed groups breached the Kenyatta...
  19. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  20. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
Back
Top Bottom