Je, kulingana Sheria zetu za Ardhi watanzania tuna OWN au tuna POSSESS Ardhi kama DP WORLD?

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili

1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group .

2.Posses land -control or occupancy of land without regard to ownership .

Kwa katiba yetu Kama nimeielewa vizuri Ardhi ni mali ya Serikali/Umma na imekabidhiwa kwa Rais kwa niaba ya watanzania wote na serikali inaweza ihitaji muda wowote kwa Manufaa ya Umma .
Screenshot_20230714-171228.png

Screenshot_20230714-172126.png



Kwa Maelezo hayo ya maana na Sheria ya Ardhi je sisi wazawa tuna possess au ni owner ?

Na tuna tofauti gani na huo uhakika wa umiliki tunaowapa DPW katika umiliki wa Ardhi ya Umma ?​
 
Back
Top Bottom