ardhi

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa anaweza kupunguza matapeli Ardhi? Wana mtandao, wamejazana wizarani, wana makampuni!

    Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi. Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
  2. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  6. Exile

    JamiiForums Tanzania Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

    Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi wadai wanakerwa na migogoro ya Ardhi

    Wananchi wa Kijiji cha Songambele kilichopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa kero mbalimbali ikiwemo migogoro ya Wakulima na Wafugaji sambamba na huduma ya umeme kutokidhi viwango. Kero hizi zimetolewa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mara baada ya kufika katika kijiji hicho na...
  8. Shining Light

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  12. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ndiye aliitendea haki wizara ya ardhi

    Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi. Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa. Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

    Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea. Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Siku chache zilizopita, nilimtembelea mkulima mmoja wa matunda nchini Kenya. Taswira ya shambani kwake ilinipa ujumbe kuwa ni mkulima mwenye mafanikio mazuri. Japo hana na eneo kubwa sana, analitumia kikamilifu eneo lililopo. Sidhani kama shamba lake lote linazidi ekari tano! Aliniambia kuwa...
  19. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Kimwili tuko katika ardhi huru ya Tanzania, kifikra tuko utumwani Ulaya

    KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao pengine baada uhuru hawakujulikana sana. Lakin swali la kujiuliza, Ardhi imekuwa huru sio mali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa ardhi ya makazi ni muhimu Ili kuepusha majanga

    Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
Back
Top Bottom