Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,800
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.

Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho...
 
Huyo naye anakosa la kuongea jukwaani si ampogie Biteko alete umeme? mbona anadandia vitu vyepesi tu.
 
Maigizo tu hayo.
Msako wa kura kupitia matatizo ya mwananchi ambayo yametengenezwa na uongozi mbovu wa ccm!
Eti kwani anaetatua hiyo migogoro ni waziri??waziri akifika ofisini na yeye anaategemea kuambiwa fact na watendaji....so watendaji ndo kila kitu hata utembee uchi kama hawajataka kukupa hiyo document ya umiliki hupati kitu
 
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.

Sisi wa huku Naliendele waziri atakuja lini?
 
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.

Mdogo wangu Makonda Aka Bashite mwana wa Daudi.
Nikuhakikishie tu ndani b ya CCM hakuna cha kumpigia waziri sijui katibu kuhusu changamoto za wananchi!.
Hakuna yeyote ukijumlisha na wewe mwenyewe mnalowasaidia waTanzania zaidi ya Siasa na porojo.

Haya matatizo ya ardhi yamekuwepo muda mrefu sana.
Na nikuambie aliyeiweza hii ardhi ni Mh. LUKUVI peke yake wengine wote mamluki.
Sioni kwa nini mama asimtumie huyu mtu ni lulu na muwajibikaji kwa Taifa.
Alimweja RZ 1 lakini akawa pepeta! Hata hapo alipomuweka Sasa bado mzigo anapiga hela kwenda mbele. Hasaidii nchi hii lolote.
Watu mizigo tu!.
 
Hao mawaziri nao wajinga. Mnaagizwa na mjinga mnakubali?
Siyo wajinga bali hao wanaccm wanaoongopewa mchana kweupe na wanashangilia kudanganywa ndiyo wapumbavukabisa. Migogoro ambayo ipo kwa miongo kadhaa kuwa inaweza kumalizwa kwa dakika tu huu utoto kabisa kwa vile wanaccm wote ni mazwazwa wameamini.
 
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.

Sasa unataka tukusaidiaje?? Mbona mnapost vitaarifa vya kiboya? Huku ni kwa ma great thinkers jamani ukipost kataarifa kapime umuhimu wake!
 
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.

Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.

Angeratua mwenyewe walisema anatatua pao kwa papo....nyami...banaaa
 
Back
Top Bottom