Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika.
Na kuwa hakuna mkutano mwingine utafanyika baada ya mkutano aliouitisha na wananchi wa Kipunguni, ajabu kwa sasa kila mara wananchi wanaambia mara hiki mara kile ni kama kuna delaying tactics, tunaingia mwezi wa 9, je tathmini nyingine itafanyika baada ya miezi 6 kupita hadi sasa.
Mbona serikali inongeza mtanziko kwenye hili suala. Ebu jambo hili likamilishwe kama lilivyopangwa ili kuruhusu wananchi kufanya mambo mengine na Serikali nayo kuwekeza.