Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Taarifa ya serikali ya pakistan
20240118_081122.jpg
 
Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya pakistan

Source:
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747832880884072802?t=XSOnUi4rscmMxU2leqIvIA&s=19

Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
 
Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye weledi wa intelijensia baada ya mashirika ya UsA. Russia Mosaad ,M16 iko kwenye top 10.
Na Iran akijibu ajue kabisa kuwa USA na wahuni wenzake a.k.a NATO walikuwa wanasubiria hilo akumbuke Russia bado anamkamua jipu Ukraine hatakuja. China ni joka la Kibisa ambaye anavizia watu watwangane yeye aongize kiuchumi hatajihusisha popote uchumi wake usiyumbe
 
Back
Top Bottom