China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250.

Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea.

Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi inaweza kutokea, baada ya mitetemeko mingine 10 kurekodiwa katika maeneo ya Tibetani.

#####

Death toll from Gansu quake hits 116 - authorities
The death toll from the Gansu earthquake has increased to 116, according to local authorities.

State media reported that 105 died in Gansu, with 11 deaths in neighbouring Qinghai province.

Officials in Jishishan county, the epicentre of the quake, said at a press conference on Tuesday morning that some 186 people have been injured, with 4,782 houses damaged.

Thousands of rescue workers have been deployed. Officials asked the public not to approach the disaster scene, so as to leave roads clear for rescue teams.

Authorities also warned that more aftershocks may occur, after 10 aftershocks were recorded in the quake-prone Tibetan Plateau.

Source BBC
 
China huwa likipiga tetemeko huwa linakuwa la ukweli...
 
Lisogee Telaviv
 
Back
Top Bottom