Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara.
Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara?
Nini maoni yako katika hili.
Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka.
Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira
Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari.
Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi😎😎
Wakuu,
Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi
Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani.
Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja...
Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake.
Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli serikali kupitia OR-TAMISEMI imejitahidi kutenda haki kwa namna mchakato mzima ulivyofanywa ili...
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo
Kazi iendelee....
Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021.
========= UPDATES=======
Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys!
Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down.
Nina wasiwasi...
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi.
Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani.
1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi.
The economy has created more jobs under the Biden...
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
TANZANIA RED CROSS SOCIETY
The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was...
Ili kuboresha utendaji na weledi wa Jeshi la Polisi nchini ni vyema serikali ikaweka kigezo cha elimu kama kipaumbele kwa ngazi zote za polisi.Hii ni kutokana na umuhimu na unyeti wa kazi za ulinzi wa usalama wa raia na mali zao.
Waajiriwe vijana waliomaliza diploma, digrii na masters tu katika...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam.
Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo.
Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...