ajira

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ubinafsi ndio chanzo cha tatizo la Ajira

    Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa watarajali katika nyanja za afya (interns) na changamoto za ajira

    Kwa watarajali, intern doctors, intern pharmacists na kadhalika. Nakumbuka tunapokuwa shuleni sekondari kunakuwa na zile fikra kwamba zipo kada ambazo ukizisomea uwapo chuoni basi ajira ni nje nje, hivyo watu wanaenda kusomea kada hizo akiwa na wazo kwamba hatopata shida ya ajira baada ya...
  3. inosgram

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mwanafunzi Bora Chuo Kikuu Mzumbe aliyejiajiri kwa kukusanya na kubeba taka na kufanikiwa

    Naitwa Teju ni kijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I (Division One) na baadaye nilijiunga chuo kikuu cha Mzumbe Course ya Usimamizi wa Biashara katika...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, ni kweli tatizo la Ajira kwa Wanazuoni Wahitimu huchangia kudorora kwa uchumi nchini Tanzania?

    Utangulizi Kwa mtazamo chanya wa swali hilo tunaweza kujibu ni kweli, lakini tukiangazia mtazamo hasi tunaweza kutumia tatizo hilo kama fursa ya maendeleo ya kiuchumi. Je tunawezaje na kwa njia zipi? Basi Makala hii itaelezea mtazamo hasi kwa serikali na raia wake katika kupunguza tatizo la...
  6. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 10,000 zinakuja mwaka huu wa fedha 2021/22

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi =AZWFt27YcO67kbShO8yXVYcSKqMkT6-epL7OG-vvW_J7xFgRydHODCvYTMHUXVXZp7O6FHXfEs8s2Zp3ngaIKABVJeQYsqufpgOjwzBO08RmPcUKjiii7YytKCIfOiW7Da1rPVEx0n1L6SaZMFthh_hr&tn=-]K-R']Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la Ukosefu wa Ajira Tanzania: Jinsi ninavyoweza kupunguza ukosefu wa Ajira kwa 10% Ndani ya siku moja

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira nchini na suluhisho lake

    Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini? Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu. Nafasi za ajira hazitoshi Tuanze na dhana ya soko la ajira. Soko ni utaratibu wa kuuza na kununua...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nina certificate ya Information Technology, natafuta kazi Dar es Salaam au Mwanza

    Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana. Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza...
  11. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Ajira wilaya ya Kibondo, Kigoma

  12. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  13. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

    Habari wanajukwaa; Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao. Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali inavyoweza kupambana na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo tatizo la ukosefu wa ajira ndipo linapo chipukizi. Sababu zinazo fanya kuwepo na vijana wengi...
  15. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli ndio mkombozi wangu

    Habari wana Jamii Forum great thinkers wenza ngumu Leo naomba nikiri kwamba aliyekua Rais wa awamu ya 5 Dr. John Pombe Magufuli ndie mkombozi wangu ktk mahangaiko ya Kimaisha. Nimeiona watu wengi humu JF na kule Twitter wakimdhihaki mpendwa wetu yule km vile hakuna mema aliyoyafanya. Ngoja...
  16. Emmanuel Zao

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu ajira za nje ya nchi

    Hii ni kwa yeyote mwenye ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi: Ili mwajili wa nje ya nchi akupe stahiki zako kama mfanyakazi na wewe ufurahie fursa hiyo basi ni lazima uwe na: 1. Elimu ya uhakika sababu ndio kigezo cha mtu anaejitambua kwa Dunia ya leo. 2. Uzoefu na taaluma yenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la tatizo la ajira

    Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone). Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  19. Hajto

    JamiiForums Tanzania Ajira za Dawasco

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira ni Dawasco
  20. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
Back
Top Bottom