ajira

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

  2. K

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa 2015 mpaka 2020 wapewe Ajira za Ualimu na Afya

    Wakuu, Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
  3. Master Kutu

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation

    Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani. Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja...
  4. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMI 2021: Serikali imejitahidi kupunguza malalamiko

    Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake. Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli serikali kupitia OR-TAMISEMI imejitahidi kutenda haki kwa namna mchakato mzima ulivyofanywa ili...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Tamisemi kwenye ajira za Afya na Ualimu 2021

    Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo Kazi iendelee....
  6. msovero

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  7. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  8. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

    Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi. The economy has created more jobs under the Biden...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Medical Doctor at Tanzania Red Cross Society

    TANZANIA RED CROSS SOCIETY The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ajira zote za jeshi la polisi zianzie ngazi ya Diploma

    Ili kuboresha utendaji na weledi wa Jeshi la Polisi nchini ni vyema serikali ikaweka kigezo cha elimu kama kipaumbele kwa ngazi zote za polisi.Hii ni kutokana na umuhimu na unyeti wa kazi za ulinzi wa usalama wa raia na mali zao. Waajiriwe vijana waliomaliza diploma, digrii na masters tu katika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho dhidi ya kuchochea maambukizi ya Covid-19 nyakati za usaili wa kazi

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda. Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa. Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam. Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari shule ya private au kituo chochote cha elimu

    Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo. Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...
  15. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

    Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni. Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa...
  16. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

    Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua. Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana. Taarifa zaidi zinafuata: Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
  19. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
Back
Top Bottom