ajira

  1. L

    JamiiForums Tanzania Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Sekretariate ya ajira katika Utumishi wa umma inatangaza kazi kwa niaba ya taasisi/shirika la umma kuhitajika mtu mwenye elimu ya kidato cha Nne na cheti cha taaluma fulani tu, halafu kwenye usaili wanaweka mtu mwenye elimu ya Degree na ziada ya ngazi ya cheti alichokipata baada ya kuhitimu...
  2. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

    Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu. Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake. Kiufupi katika kozi...
  3. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

    Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini . Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi utumishi ajira

    27 Job Vacancies at Utumishi ajira portal. On behalf of The Mining Commission (TMC) andTanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 27 vacant posts as mentioned below. TECHNICIAN II (MINING) – 9 POST TECHNICIAN II (GEOLOGY)...
  5. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Napataje Leseni ya kuwa agent wa huduma za ajira?

    Habari wadau yoyote mwenye kujua swala zima lakupata Leseni ya uwakala wa ajira.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Ajira, kuzuia mikutano ni kunyima kundi fulani ulaji

    SIASA NI AJIRA, KUZUIA MIKUTANO NI KUNYIMA KUNDI FULANI ULAJI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Moja ya mambo ambayo nilipishana na JPM Kwenye utawala wake ni suala la kuzuia mikutano ya Kisiasa ya nje hasa Kwa wapinzani huku CCM wakiendelea na mikutano kwa mwamvuli wa kukagua miradi ya serikali...
  7. Ty tanick

    JamiiForums Tanzania Mishahara midogo kazini

    Mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda kuna kampuni moja ni maarufu sana inajihusisha na mambo ya mazao inatoa mikataba feki kwa mwafanyakazi wake pia inachelewa sana kulipa mishahara, kima chao cha misharaha ni 100k hadi 225k ila kupata ni hadi kelele kwanza Hii ndo Tanzania wewe kama una kazi na...
  8. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimeitwa kazini huku nikiwa najiendeleza kusoma

    Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata. Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

    Habari wanabodi..! Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa. Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro 2.Sigara maeneo ya city center 3.Vitabu mbali mbali 4.Vitu vya watoto na urembo 5.Ma cover ya simu na protector 6.Mikoba
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Shahada kuna namna mnahujumiwa na Serikali, ajira zimekuwa za kibaguzi. Fanyeni jambo ili elimu yenu ithaminiwe

    Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nimesoma Shahada ya Ualimu

    Habari wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala. Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana. Natafuta kazi itakayoniwezesha kujikimu kimaisha. Sio lazima iwe ya kitaaluma, niko tayari kujifunza...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  15. msovero

    JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  16. msovero

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  17. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza kwenye ajira za ualimu 2021

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi car wash

    Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga. Piga simu Na. 0717 26 33 77
  19. Ty tanick

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kuomba ajira mgodini

    Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi😎😎
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Back
Top Bottom