ajira

  1. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimeitwa kazini huku nikiwa najiendeleza kusoma

    Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata. Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

    Habari wanabodi..! Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa. Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro 2.Sigara maeneo ya city center 3.Vitabu mbali mbali 4.Vitu vya watoto na urembo 5.Ma cover ya simu na protector 6.Mikoba
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Shahada kuna namna mnahujumiwa na Serikali, ajira zimekuwa za kibaguzi. Fanyeni jambo ili elimu yenu ithaminiwe

    Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nimesoma Shahada ya Ualimu

    Habari wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala. Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana. Natafuta kazi itakayoniwezesha kujikimu kimaisha. Sio lazima iwe ya kitaaluma, niko tayari kujifunza...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  10. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza kwenye ajira za ualimu 2021

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi car wash

    Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga. Piga simu Na. 0717 26 33 77
  12. Ty tanick

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kuomba ajira mgodini

    Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi😎😎
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

  14. K

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa 2015 mpaka 2020 wapewe Ajira za Ualimu na Afya

    Wakuu, Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
  15. Master Kutu

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation

    Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani. Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja...
  16. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMI 2021: Serikali imejitahidi kupunguza malalamiko

    Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake. Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli serikali kupitia OR-TAMISEMI imejitahidi kutenda haki kwa namna mchakato mzima ulivyofanywa ili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Tamisemi kwenye ajira za Afya na Ualimu 2021

    Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo Kazi iendelee....
  18. msovero

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  19. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  20. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
Back
Top Bottom