ajira

  1. OLS

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kukuza uchumi(inclusively), kuleta ajira na fanaka kwa Watanzania

    Kwa muda mrefu watu tumekuwa tukizungumza namna mbalimbali za kukuza uchumi kuongeza ajira ili kila mmoja afaidike kwenye keki ya taifa. Nimeona si haba na mimi nikitoa mawazo yangu katika namna ambayo watu wengi watapata ajira. DHANA YA MAENDELEO Maendeleo ni uwezo wa mtu kuamrisha vitu, hii...
  2. Memtata

    JamiiForums Tanzania SoC01 Naamka nikiwa na miaka 40, Mke wangu amekuwa msaada

    Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa. NINI KILINIPONZA? 1. UVIVU NA NJIA MKATO Shule ya...
  3. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikakati ya kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa vijana

    Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe. Pia ushindani wa soko ajira inaweza kuwa sababu kwa baadhi yao kutumia vyeti vya kughushi kupata mpenyo...
  4. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Ninaomba ajira yoyote halali, nina elimu ya Sekondari

    Habarini za mchana ndugu zangu mi ni kijana wa miaka 24. Na nilikuwa nina malengo makubwa sana kimaisha ila ndoto zangu zilikuja kufifia baada ya baba yangu mzazi ambae ndio alikuwa kila kitu katika familia yangu kufariki nikiwa form 3. Kitu ambacho kilikuja kufanya niache shule kutokana na...
  5. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Vaccination Post team supervisors

    Qualifications and Requirements For appointment to the post of Regional Coordinator, a candidate must; A university degree in any health science discipline, social science, international studies, public administration, economics, engineering, earth sciences or a related field is required. At...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC: Kenya imeingia makubaliano na UK kuwapatia madaktari wake ajira

    Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza. Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Industrial Engineering Management, natafuta nafasi ya kazi au kujitolea

    A motivated, adaptive, and responsible ndustrial engineering maagement graduate seeking a position within which i will utilize my proffesional and technical skills. I have recently graduate at Mzumbe university taking Bsc in industrial engineering management and i currently looking to apply my...
  8. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waliolipwa madai ya kukosa ajira NSSF

    Wakuu naomba kuuliza swali kwa waliolipwa Madai Yao NSSF. Je, ukilipwa dai lako kuna update yoyote katika User-Portal yako ya NSSF ukilogin? Hasa upande wa Claims Details maana hapa kila nikiangalia ya kwangu sioni mabadiliko yapata mwezi na week moja. Ningependa kujua muda halisi madai...
  10. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie Vyuo Vikuu na HESLB Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira na Mitaji kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu

    1. Utangulizi Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira? Japo ni kweli kuwa tatizo la ukosefu wa ajira nchini linadhihirika zaidi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni vyema tukataraji...
  11. Kiwelesi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie ubunifu wa vijana kupunguza tatizo la ajira

    AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  15. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu bure iondolewe tupunguze tatizo la ajira

    Janga la ukosefu wa ajira linaloikumba nchi yetu limepelekea kushuka thamani kwa elimu na kudharauliwa wenye elimu. Watu wamefikia kusema huku mtaani kwamba hakuna haja ya kusomesha watoto kama wakimaliza tunaendelea kukaa nao nyumbani na hawaajiriwi. Lakini kwa upande wa waajiri katika sekta...
  16. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wenzangu tukalime kilimo kinalipa sana

    “Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima. Bwana Jenkeni ni rafiki yangu wa karibu sana, nilifahamiana nae mwaka 2014 alialikwa nyumbani Kimara kwenye sherehe ya...
  17. blessideal

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapambano dhidi ya ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira zisizo rasmi mfano Wizi,Kuuza madawa ya kulevya na mengineyo.Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanye nini kukuza uchumi wa viwanda nchini na kutengeneza ajira

    Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe; Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama chanzo cha malighafi za kwenda viwandani Tanzania ni nchi kubwa sana na sehemu isiyoishi watu (mapori)...
  19. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ajira za Uhakika zinazoweza kukulipa Mtandaoni

    Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri. Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ajira portal Utumishi unaweza kudelete sehemu yoyote ulipokosea lakini kipengele cha education qualifications No!

    Shida nini utumishi mbona sehemu nyingine delete ipo isipokua kwenye academic. Ukikosea kidogo tu unapoteza sifa za kuomba kazi uipendayo badilisheni mtu awe huru.
Back
Top Bottom