Bado ila nimepewa namba za afisa masoko kiwanda cha like steelNaomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)
![]()
Naomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)
Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal) naomba kujua kiasi gani cha mtaji niandae.🙏🙏🙏www.jamiiforums.com
Vipi ulifanikiwa kujua jinsi ya kufungua duka la vyuma?