aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli

    Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli Kujisifu kote kule lakini usafiri wa umma hovyo. Hivi afcon 2027, east Africa inaweza pigwa ban maana usafiri wa Nairobi kichefuchefu Jirani, badilika
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kile ambacho unakionea aibu ndio hichohicho kitakachokupa matokeo yatakayo kushangaza

    Jambo wote! Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza. Maisha ni...
  4. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  6. Papasa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  7. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

    Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON. Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki? Ukiangalia kuna vinchi vidogo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo. Hii imekaaje wakuu
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

    Wanakumbi. Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza. • John Dugard • Max Du Plessis • Adila Hassim • Tembeka Ngcukaitobi • Tshidiso Ramogale •...
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
  11. Fintan20

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye aibu...

    Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe. Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
  14. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Tena sioni aibu.

    tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  16. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

    Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida. Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma. Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM. Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
Back
Top Bottom