Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,996
32,433
Wanakumbi.

Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.

• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh

South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.

208d8574-f850-4fe5-8498-076d808e110b.jpeg
 
Waarabu ni watu wa ajabu sana

Yaani wanasubiri waungwe mkono na wazungu ila wakitoka hapo hapo wanawatukana wazungu

Africa kusini hiyo kesi wameipeleka ili kumkasirisha kaburu tu hawana namna

Kaburu ni swahiba wa israeli
 
Ujinga muuanze nyinyi ile october msinge shambulia israel mngekuwa mnahangaika mahakamani leo? mlitaka Israel abaki kimya tu?
 
Siyo Waarabu tu dunia nzima wamekaa kimya wakiangalia Israel wakiuwa watoto zaidi ya 9000 huku wakishindwa kupambana na Hamas na kufanya mauaji ya holela.
 
Ujinga muuanze nyinyi ile october msinge shambulia israel mngekuwa mnahangaika mahakamani leo? mlitaka Israel abaki kimya tu?
Umri wako mdogo ndiyo maana umeandika hivyo kwa akili yako fupi unajua vita vimenza Oct 7 wakati Palestina wameenza kuteshwa toka mwaka 1948 sikiliza hii.
>>>>>>>>>>>

Waziri wa Sheria nchini Afrika Kusini, Ronald Lamola akifungua dimba kwenye Mahakama ya Haki za Kimataifa akiwasilisha vithibitisho vya uhaini ambao umefanyika na taifa la Israeli pale Gaza.

Hebu fikiria kwa dakika moja tu, yaani taifa kutoka barani Afrika linaongoza mashambulizi ya kuitafuta haki katika Mahakama Kuu ya Kimataifa?

Dunia ipo macho huku mamilioni ya watu wakiwekeza fikra na akili zao kwenye kesi hii ambayo kuna kila dalili kwa taifa teule kupigwa kata funuwa.

Huu ni ushindi tosha sana kwa wapenda haki wote duniani
 
Attachments

  • 42e15a0a-e68c-421d-990f-46a512bfa23d.mov
    12.1 MB
Alitakiwa na nini? Yaani wewe upo Kimara Bonyokwa unawapangia wapenda haki cha kufanya.
Hao hawapendi haki isipokuwa wanapenda attention, Kama ni wapenda haki wangeanzia nyumbani Africa Kuna mengi yanahitaji kusemewa na wapo kimya. Binafsi nawaona Kama mbwa Koko tu.
 
Umri wako mdogo ndiyo maana umeandika hivyo kwa akili yako fupi unajua vita vimenza Oct 7 wakati Palestina wameenza kuteshwa toka mwaka 1948 sikiliza hii.

Waziri wa Sheria nchini Afrika Kusini, Ronald Lamola akifungua dimba kwenye Mahakama ya Haki za Kimataifa akiwasilisha vithibitisho vya uhaini ambao umefanyika na taifa la Israeli pale Gaza.

Hebu fikiria kwa dakika moja tu, yaani taifa kutoka barani Afrika linaongoza mashambulizi ya kuitafuta haki katika Mahakama Kuu ya Kimataifa?

Dunia ipo macho huku mamilioni ya watu wakiwekeza fikra na akili zao kwenye kesi hii ambayo kuna kila dalili kwa taifa teule kupigwa kata funuwa.

Huu ni ushindi tosha sana kwa wapenda haki wote duniani
Sawa lakini hakipo kitakacho badilika, south africa wanamaliza hela za mawakili tu
 
K
Wanakumbi.

Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.

• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh

South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.

View attachment 2870322
.
Kiukweli kabisa S.Africa wamefanya jambo jema na Mungu awabariki
Haiwezekani dunia nzima unaa abudu mtu mmoja na watu wote wakae Kimya.
 
iIT IS DIFFICULT TO PROVE GENOCIDE PARTICULARLY UNAPOSHAMBULIWA KAMA Hamas ilivyofanya
 
Wanakumbi.

Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.

• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh

South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.

View attachment 2870322
For your information wameidharaulisha Africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom