Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko.

Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa huo ugonjwa huambatana na yale makelele kwa kuwa kila kitu hutoka kwa ghafla.....nyie ni watu wazima nnajua mnajua kuwa nazungumzia zile 'trab trap trap trab prtatataaaa preeeeee' n.k.

Hoja yangu; mkiwa kwenye mazingira ya nyumba iliyo sawa na mfano wangu huo hapo juu, mnatumia mbinu gani kupunguza au kuondoa kabisa aibu ya kelele za uharo wenu?

Karibuni wadau.
 
hainaga aibu hiyo hali, weka wazi usaidiwe utaumbuka ukijibana, jiachie tu hainaga silent mode hiyo ni kama kelele za mgegedo apo jirani chumba cha pili, haiwezikani kuwa silent 🐒
 
Mkuu hata Wadada nao huwa wanakata gogo na kuendesha pia nao ni binadamu tu kama wewe, kwahiyo wewe usione haya kutimiza haja zako za msingi kisa wao ,wewe kaza sura timiza haja zako mambo mengine yapo tu duniani
 
Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko.

Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa huo ugonjwa huambatana na yale makelele kwa kuwa kila kitu hutoka kwa ghafla.....nyie ni watu wazima nnajua mnajua kuwa nazungumzia zile 'trab trap trap trab prtatataaaa preeeeee' n.k.

Hoja yangu; mkiwa kwenye mazingira ya nyumba iliyo sawa na mfano wangu huo hapo juu, mnatumia mbinu gani kupunguza au kuondoa kabisa aibu ya kelele za uharo wenu?

Karibuni wadau.
Umenikumbusha nyumba moja Ilala. Alikuwa anakaa jamaa yangu na mkewe. Alikuwa anasema uani karibu muda wote wa mchana kulikuwa na ''mashangingi'' yanakaa hapo. Unajua tena wanawake wa uswazi. Jamaa, mke wake alikuwa anafanya kazi, anatoka asubuhi na kurudi jioni, anashinda pale weekends tu. Basi siku moja Jumamosi, mke wake akawa anakwenda chooni huku amebeba toilet paper. Mashangigi yale yakasema kwa sauti ''mwanamke kutawaza babu.... haloo haloo!''
 
Kuna vitu vya kuepukika kama hivi!

Ukienda ugeni kwa mtu usipende kula kula vyakula wala kunywa juice akiku-offer kitu muombe maji kunywa fanya lililokupeleka pale ondoka.
 
Unajisemesha wakati unaingia kuwa tumbo hulielewi ili uwaandae kisaikolojia kupokea lolote litakalojitokeza wakati wa mchakato wa ukataji gogo
Mkuu kuna vitu unaweza ukaviepuka,kama ni mtu wa kuogopa aibu kwanini uende kwa watu wakati tumbo zinakusumbua why usibaki kwako ili ujihudumie vizuri hiyo safari uende siku nyengine?
 
Aibu ya nini hapo, si ni maladhi kama mengine tu, ukiwa na mafua, kamasi likumwagika si unajiachia hata kwa kulishika na mkono unalitupa shughuli inaendelea
 
Kuna dawa moja yakufunga tumbo kuharisha inaitwa lopelamid sijajua inaandikwaje vizuri ila nenda duka la dawa ulizia hili jina waambie niyatumbo, hii dawa ni kiboko wewe kama una safiri hakikisha unatembea na hii dawa.
 
Back
Top Bottom