Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,363
Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.

Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.

Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
 
Mkuu labda device yako au sehemu Ulipo. Sasa hivi niko hapa ni jirani na impara mtandao ni airtel 4G
 
Voda na Tigo kuna baadhi ya siku inakamata na kusoma 5G…

Ila airtel naonaga wanalalamika wadau siku ikiamua kuwakazia ni inakaza kuanzia call mpk data.
 
Back
Top Bottom