KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine.
Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .
Ili kuepuka jambo...
Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.
Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.
My Take:
Natengua msamaha...
Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi.
Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
Habari watanzania wenzangu?
Kwa wale wa Dar es salaam,poleni na hali ya hewa hii ya baridi na mvua za mara kwa mara.
Ni takribani wiki mbili kama sikosei toka Rais wa Jamhuri ya Muungano alipotoa agizo kuwa gharama za vifurushi zishuke na zirudi kama ilivyokuwa awali,cha ajabu mitandao ya simu...
Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda.
Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
Habari wakuu,
Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa.
Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa...
Naam.
Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa, basi amegeuka mpiga debe wao!
Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe Wachina kiasi hiki? Ndugai hana...
Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae
Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida
Binafsi Enzi za kidato kuna Mdada mmoja nlikuwa namuhusudu sana na nlitengeneza mazingira ya kuniona wa tofauti...
Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto.
Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto.
Everyone should carry it Burden
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.