afya

  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwelekeo wa Tanzania: Elimu na Afya Kwa Kizazi Kijacho

    Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli na endelevu katika maisha ya Watanzania. Elimu Bora Kwa Kila Mtoto: • Kujenga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
  3. JamiiForums Tanzania Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF -CHF -Aetna -NSSF Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

    Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake. Hii...
  5. JamiiForums Tanzania Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

    Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  7. JamiiForums Tanzania Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  8. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  13. JamiiForums Tanzania Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  14. JamiiForums Tanzania KWELI Mtu akikung'ata anaweza kukusababishia madhara makubwa

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata anaweza kukuachia bakteria ambao wanaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na kiwango cha bakteria atakachokuachia? Hii ni kweli wataalam?
  15. JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe: Serikali Ilete Fedha Kukamilisha Kituo cha Afya cha Ngimu

    "Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida. "Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  19. JamiiForums Tanzania Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio

    Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
  20. JamiiForums Tanzania Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…