Search results

  1. B

    Mkandala Lufufu anastahili Honorary doctorate

    Huyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
  2. B

    Uhaba wa wasanii wa Reggae nchini

    Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3.
  3. B

    Msaada: Suzuki Grand Vitara (spea, mafuta?)

    Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
  4. B

    Diesel tumekumbukwa kwa mara ya Kwanza!

    Kwa mara ya Kwanza. Wenye kutumia magari ya diesel tumekumbukwa. Asanteni.
  5. B

    ISUZU Bighorn: Unyama mwingi

    Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
  6. B

    BMW X5: Mwenye kuijua!

    Salam, Mwenye kuijua gari pendwa BMW X5. Nataka kulipuka na huyu Mjerumani Ila Sina details zaidi ya bei
  7. B

    Hyundai Tecaran - Chuma Kama Chuma

    Hyundai Teracan 2990cc, Diesel Ni gari makini Sana. Bei yake imepoa na hata TRA ushuru ni mdogo ajabu. Changamka fursa. Usiseme hukuambiwa. USHURU 5.5m Tsh, Wese:Ddiesel, Spea bwerere, 7 seater SUV
  8. B

    Mama Kimbo

    Hongera sana kwa kujiweka fit
  9. B

    Bukoba MegaCity International Marathon

    Karibuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi. Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi.
  10. B

    Helicopter Ambulance in Dar & Dodoma

    Kutokana na Tanzania kuelekea kuwa nchi ya Viwanda punde. Majiji haya yanahitaji Helicopter Ambulance kwa ajili ya Uokozi wa haraka. #Make Tanzania Greater Again# **Pia, wanahitajika Trauma Doctors kwa ajili ya kuhudumia Majeruhi kwa haraka
  11. B

    Nini lengo la kuanzishwa UN Women

    Hii ni moja ya Taasisi za Umoja wa Mataifa najiuliza hiv lengo kuu kuanzishwa kwake ni nini? Mwenye kujua tafadhali.
  12. B

    Nini lengo la kuanzishwa UN Women

    Hii ni moja ya Taasisi za Umoja wa Mataifa najiuliza hiv lengo kuu kuanzishwa kwake ni nini?
  13. B

    Wrong Parking Enforcement Team?

    Ajabu la 8 la dunia? Yaan watu wamejiriwa job description yao ni Wrong Parking?
  14. B

    Nahitaji Show ya Dashboard ya Carina Ti

    Wakuu Nahitaji show ya pale kwenye Dashboard mpaka kwenye redio ya Carina Ti
  15. B

    Msiba si kusikitika/kulia tu bali TAFAKURI

    Pamoja na ukweli kuwa msiba si jambo la kushangilia lakini wengi wetu (Watanzania) basi ukipata msiba mtu unajelegezaaa as if ndo hakuna maisha baada ya hapo. 1. Tunajikusanya maelfu kwenye eneo la msiba, makaburini na kurud nyumbani kuendelea kuongezea machungu familia ya mfiwa (ikiwemo gharama...
  16. B

    Noah liteace vs xtrail:ipi bora?

    Wakuu nauliza kati ya Toyota Noah Liteace na Nissan xtrail ipi ni bora (fuel consumption, spares, mainteinance/service etc.? Mizunguko yangu ni hapa hapa mjini na mara chache sana mkoa lami mpaka kijijini...rough road haizidi 2kms.
  17. B

    Nissan Xtrail: mafuta, spea?

    Wakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine ni kama 1.5m= total 15m.
  18. B

    Toyota Premio: inafaa kwa Taxi?

    Wakuu kama mjuavyo vyuma vimekaza Kiukwel. Nafikiria kujiongeza kwenye biashara ya Taxi je Toyota Premio (pichani) inafaa kwa shughuli tajwa? Ulaji wake wa mafuta, spea n.k. natanguliza shukrani. 1790cc....engine...DBA TR. **Toyota Premio (si Premier)
  19. B

    Celebrities wa TZ wanaoanzisha viwands 2018

    Ingependeza wasanii wenye utajiri waanzishe viwanda hapa hapa nchini, tofaut na wanavyofanya sasa ya kuwekeza ughaibuni tu. Mapendekezo ya majina ya viwanda. 1. UCHEBE STEEL INDUSTRIES. 2. WEMA AUTOMOBILE INTERNATIONAL 3. SHISHI TEXTILES INDUSTRIES, 5. DIAMOND ALUMINIUM GROUP OF COMPANIES. 6...
  20. B

    Mke na Mama mkwe wananunanuna na wapo nyumbani kwangu

    Disemba 2017 tulimualika Mama mkwe toka Mwakaleli, Mbeya kuja kupumzika Dar. Lakini toka aje yeye na mke wangu ni kununanuna tu. Sasa sielewi tatizo ni nini.
Back
Top Bottom