Nahitaji Show ya Dashboard ya Carina Ti

Nahitaji Show ya Dashboard ya Carina Ti

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Wakuu Nahitaji show ya pale kwenye Dashboard mpaka kwenye redio ya Carina Ti
 
Wakuu Nahitaji show ya pale kwenye Dashboard mpaka kwenye redio ya Carina Ti
Kama ni mkaazi wa DSM panda mwendokasi nenda Gerezani K'Koo. Hukosi. Jitahidi uende mwenyewe weekdays. Huu mwezi wa ramadhani bei zimepoa.
 
Gerezani maduka ya upande gani mkuu huku magari ya ya tandika yanapotokea au huku magari ya mbagara yanapotokea
Kama ni mkaazi wa DSM panda mwendokasi nenda Gerezani K'Koo. Hukosi. Jitahidi uende mwenyewe weekdays. Huu mwezi wa ramadhani bei zimepoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom