Nini lengo la kuanzishwa UN Women

Nini lengo la kuanzishwa UN Women

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Hii ni moja ya Taasisi za Umoja wa Mataifa najiuliza hiv lengo kuu kuanzishwa kwake ni nini? Mwenye kujua tafadhali.
 
Kuwezesha wanawake kiuongozi na kifikra pia
 
Wanawake ni special group hawana tofauti na watoto(UNICEF) ndio maana juhudi nyingi zinafanywa kuwasaidia ikiwamo hiyo ya UN women.
 
Lengo lao ni dunia iwe kikikekike kama ilivyo kiumeume
 
Back
Top Bottom