B blessings JF-Expert Member Jul 9, 2012 6,983 6,238 Jul 22, 2023 #1 Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3. Attachments Worriors-from-east.jpg 41.5 KB · Views: 4
Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3.
jiwe angavu JF-Expert Member Aug 28, 2015 19,127 35,988 Jul 22, 2023 #2 Wanamziki bongo wamehamia kwenye amapiano. Upepo wa regge ni kama upepo wa taarabu ulishapita.
A Andrew123 JF-Expert Member Jun 2, 2012 7,067 8,658 Jul 22, 2023 #3 jiwe angavu said: Wanamziki bongo wamehamia kwenye amapiano. Upepo wa regge ni kama upepo wa taarabu ulishapita. Click to expand... Ha ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipo
jiwe angavu said: Wanamziki bongo wamehamia kwenye amapiano. Upepo wa regge ni kama upepo wa taarabu ulishapita. Click to expand... Ha ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipo
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,898 106,188 Jul 23, 2023 #4 Reggae bado tasikiliza Mpenzi wa,reggae ni mpenzi wa mziki huo milele Ova
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,898 106,188 Jul 23, 2023 #5 Andrew123 said: Ha ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipo Click to expand... Pesa au watu wanapenda kusikia miziki ya ujingujing Ova
Andrew123 said: Ha ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipo Click to expand... Pesa au watu wanapenda kusikia miziki ya ujingujing Ova
Panzi Mbishi JF-Expert Member Mar 8, 2021 2,055 2,673 Jul 23, 2023 #6 Kalikawe? Andika unachokifahamu