Search results

  1. Jerrymsigwa

    Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  2. Jerrymsigwa

    Nichukue IST au Belta?

    Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari. Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi? Natanguliza shukrani[emoji1545]
  3. Jerrymsigwa

    Matangazo ya chuo cha afya cha Excellent jijini Mwanza yamezidi

    Wakuu hawa wenye hiki chuo wamechafua mji wa Mwanza na haya matangazo, ni lazima tu usome hata kama hautaki. Njia nzima kutoka au kuingia jijini unaona mabango dabo dabo yani yanakuww mkabala kila upande wa road. Hivi hakuna sheria ya kuhudu kuchafua mji wa matangazo mengi kwa wakati mmoja?
  4. Jerrymsigwa

    Any short term rental around Muhimbili Hospital please?

    Igweee! Jamani ninajua humu kuna wataalamu kila nyanja. Ninakuja Dar kwa matibabu, nitakaa siku 5-10 nina familia ya watu 4. Ninahitaji sehemu inayoweza saidia kukaa na watu wangu kwa siku tajwa. Kama ni short term au mtu ameenda holidays anataka tushee costs za rent niko tayari. Mimi ni...
  5. Jerrymsigwa

    Nataka kununua hii Escudo 2016, makadirio ya kuwa nayo mkononi kias gani?

    Wakuu baada ya kutumia version ya nyuma kwa miaka10, sasa ninataka kubadili model ninunue hii. Uzoefu upoje kwenye kodi ikizingatiwa ni gari ina miaka6 toka iundwe na costs zake ni$10,000 hadi Dar. Asante in advance
  6. Jerrymsigwa

    Tristan da Cunha-kisiwa kilicho mbali zaidi na kukaliwa na watu

    Huenda hujawahi sikia jina Tristan da Cunha.. basi leo nakupa kwa ufupi maajabu ya kisiwa hiki kinachopatikana kati ya South America na South Africa: 1. Kina wakazi 275 tu ambao wote ni ndugu na ni wazungu 2. Wana majina ya ukoo 8 tu, hivyo wanafahamiana vizuri kwa majina yao 3. Wamekua...
  7. Jerrymsigwa

    Vyuma vimekaza..nani muanzilishi wa hili neno,ni vyuma gani?

    Wakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
  8. Jerrymsigwa

    Sad News: e.Tv : We’re saying goodbye to WWE

    Kwa wale wapenzi wa WWE kupitia channel pendwa ya etv kuanzia Sept 1 hakutakua na vile vipindi vya mieleka kupitia channel yao ya e kutoka sauz. Hii ni kutokana na mkataba kati ya kituo na wamiliki wa WWE. Kwa hiyo wale tuliokua tunawahi sa 12 jioni jumamosi na jumapili kuwatch mieleka...
  9. Jerrymsigwa

    Uhusiano kati ya harufu mbaya na kutema mate

    Si mwanaume au mwanamke mara pua zikipitisha hewa yenye perfume (harufu) mbaya wengi hutema mate. Kwa wajawazito huhusiana na ishu za hormone, je kwa wengine ambao sio waja wazito hua mnatema mate kupunguza harufu au ni imani tu? Wajuzi mje mtujuze
  10. Jerrymsigwa

    Nani yuko tayari?

  11. Jerrymsigwa

    Kazi za uhifadhi changamkia ziko 150+

    REGEN CONSULTANTS CO. LTD ILALA – TABATA - DAR ES SALAAM TANZANIA Since its opening in South Yorkshire , Uk, 2001, our client has evolved to become the one of the most internationally acclaimed park/reserves advocates . our client features walkthrough exhibits that take advocacy directly into...
  12. Jerrymsigwa

    Hii ya Papa kusaini maridhiano na waprotestant ina maana gan?

    Mnamo tarehe 31/10/2016 papa pamoja na President wa Shirikisho la waruheri duniani (Lutheran World Federation) wamesain maridhiano baada ya mtengano wa miaka takriban 500. Nimeona kila Mtu anasema lake ooh mara muungano wa makanisa, sijui ndio mwanzo wa dini moja duniani na kuzua mijadala...
  13. Jerrymsigwa

    Powerful life lessons from Chinesse Phylosopher -Confucius

    1. It does not matter how slowly you go as long as you do not stop. 2. Never form a friendship with a man who is not better than you. 3. When anger rises, think of the consequences. 4. When it is obvious that goals cannot be reached, don’t adjust the goals, but adjust the action steps. 5...
  14. Jerrymsigwa

    Mtoto mchanga kulia sana usiku wa manane

    Wakuu mtoto ananipa wakati mgumu sana, ana wiki 6 sasa na amekua analia sana usiku yani kilio cha yowe kabisa. Nimejaribu kumpa dawa 'infacol' na bonnisan lakini tatizo bado liko pale pale shida itakua nini? Hizo dawa nimepewa baada ya kumuona pediatrician. Alafu mida yake sasa ni kuanzia sa...
  15. Jerrymsigwa

    Unataka kwenda Australia? Njia hii hapa ushindwe mwenyewe

    By Mosiqi Acharya Department of Immigration and Border Protection (DIBP) have released the new Skilled Occupations List (SOL) for 2016-17. This list will come into effect from 1st July, 2016. The Skilled Occupations List is used for 189 (Skilled Independent Visa), 489 (Skilled Regional...
  16. Jerrymsigwa

    Kuna tofauti gani kati ya Petrol Premium na Uleaded

    Kwa Tz je kuna tofauti ya mafuta petrol ya premium na unleaded? Nchi za ulaya kuna zile pipe za blue na red, na bei ni tofauti kati ya petrol red vs blue. Lkn tz bei ni moja tuuu kwa petrol zote, je ni usanii au kweli kuna utofauti wa hii bidhaa kwa Tz
  17. Jerrymsigwa

    Suzuki escudo 2005, zellalic black, T xxx DCU done 105,000km for sale

    Selling black escudo, v6 (2.7L), just drove 8000km since imported in Tanzania last year. Only one person drove the car, all documents are clear & am the owner all written in my names. Bought for 29m, selling for 25m. No accident, no scratches, good in fuel budget, comes with electric pump...
  18. Jerrymsigwa

    Selling iMac 27" mid 2010, iCore7, 16Gb Ram, 1Tb Hdd

    Hi cobbers, bought brand new iMac and now I guess its time to sell 27" (really big screen), iCore 7, Ram 16Gb (2 slots to add more)1333MHz DDR3, software OS X 10.9.5, Graphics ATI Radeon HD 5750 1024Mb Comes with 700Gb stored movies, wireless keyboard & mouse, origina parking box and...
  19. Jerrymsigwa

    Nauza iRhoomba robotic cleaner

    Brand new iRhoomba kifaa cha kufanya usafi ktk nyumba yako kama ilivyo vacuum cleaner isipokua yenyewe inasens uchafu ulipo, haianguki kwenye ngazi, unaiprogram ifanye usafi kwa siku, wiki, mwez hata mwaka. Inatumia rechargable battery, na inajichaji kila mara ikihisi battery ni low. Kwa umbo ni...
  20. Jerrymsigwa

    Bicycle for sale

    Bought brand new in 2014 from Specialised bikie shop $1,150 Specialised bicycle, size 29, giant, 27shimano gears, front & rear disc brakes, lockable rockshock shock absorber, free foot pump & Lock Price 800,000Tsh Reason to sale no time to ride anymore. All are originals parts made in New...
Back
Top Bottom