Matangazo ya chuo cha afya cha Excellent jijini Mwanza yamezidi

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,072
8,329
Wakuu hawa wenye hiki chuo wamechafua mji wa Mwanza na haya matangazo, ni lazima tu usome hata kama hautaki.

Njia nzima kutoka au kuingia jijini unaona mabango dabo dabo yani yanakuww mkabala kila upande wa road.

Hivi hakuna sheria ya kuhudu kuchafua mji wa matangazo mengi kwa wakati mmoja?
 
1000123191.jpg
 
Hata hapa yamejazwa Mbezi. Na kuna kile chuo mwaka juzi kilichapa matangazo Dar nzima ni cha ususi sijui na makeup.
Kitu sipendi ni kuchafua miundombinu mfano ile Ubungo interchange imechafuka na matangazo ya mchungaji yule mlevi.
 
Unajua gharama ya kulipia bango wewe? Kuna bango nilikua nalipia 300k kwa mwaka nikaona ujinga nikalitoa, we unalalamika serikali inaingiza pesa
 
Hata hapa yamejazwa Mbezi. Na kuna kile chuo mwaka juzi kilichapa matangazo Dar nzima ni cha ususi sijui na makeup.
Kitu sipendi ni kuchafua miundombinu mfano ile Ubungo interchange imechafuka na matangazo ya mchungaji yule mlevi.
Alatu unaambiwa kuna afisa mazingira na nemc sasa sijui kazi zao ni nini hawa maofisa..!

Kwann wasiwapige faini hawa wahusika wanao ruhusu mabango yao kuwekwa sehemu ambozo sio sahihi..
 
Inakuwa kama yale mabango ya ule mkutano wa injili mwaka juzi Dar aliichafua kila sehemu, kama ni ukuta kuanzia juu mpaka chini Dar ilibadilika kuwa rangi ya njano
 
Back
Top Bottom