Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Igweee! Jamani ninajua humu kuna wataalamu kila nyanja. Ninakuja Dar kwa matibabu, nitakaa siku 5-10 nina familia ya watu 4.
Ninahitaji sehemu inayoweza saidia kukaa na watu wangu kwa siku tajwa. Kama ni short term au mtu ameenda holidays anataka tushee costs za rent niko tayari.
Mimi ni mwaminifu, nina ustaarabu hali ya juu, mkristo safi msafi na hutajuta na kila mara naamini human capital ndio
Mtaji mkubwa kwa maisha ya duniani na ahera.
Ninaingia Dar leo natokea Mbeya, ila nitafikia hotel kwanza kabla ya kupata sehemu. Bajeti yangu ni 80-100,000/day, vyumba 2, ikiwa karibu na Muhimbili itakua safi zaidi. Ikiwa mbali, tunaweza kunegotiate. Basic furniture inatosha kwa vile ni kwa muda mfupi.
Asante.
Unaweza dm au whatsap 0756 984898