Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,379
Brand new iRhoomba kifaa cha kufanya usafi ktk nyumba yako kama ilivyo vacuum cleaner isipokua yenyewe inasens uchafu ulipo, haianguki kwenye ngazi, unaiprogram ifanye usafi kwa siku, wiki, mwez hata mwaka. Inatumia rechargable battery, na inajichaji kila mara ikihisi battery ni low. Kwa umbo ni rahisi kupita chini ya sofa, na kamwe haijifungi kwenye nyaya za radio au chaja.
Kwa maelezo zaidi google iRhoomba robotic cleaner
Bought for $380 selling for tsh 500,000/= interested pm me
Kwa maelezo zaidi google iRhoomba robotic cleaner
Bought for $380 selling for tsh 500,000/= interested pm me