Selling iMac 27" mid 2010, iCore7, 16Gb Ram, 1Tb Hdd

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,083
8,374
Hi cobbers,
bought brand new iMac and now I guess its time to sell

27" (really big screen),
iCore 7,
Ram 16Gb (2 slots to add more)1333MHz DDR3,
software OS X 10.9.5,
Graphics ATI Radeon HD 5750 1024Mb

Comes with 700Gb stored movies, wireless keyboard & mouse, origina parking box and suspension

Will be available late May

Price $100
 
Mkuu mimi naweka order kabisa nitakupa $ 200 plus your asking price $100,ukiwa tayari kuiuza tafadhari nicheki kwa private massage.
 
Hyo ni mac kweli...dola 100....then its a rotten computer
 
Kuweni Makini na msipende vya bure na mtumie akili zenu hiyo Computer yenye sifa kama hizo tena i5 huuzwa TZS 4,500,000-5,500,000 Jiulize i7 itauzwa bei gani nawaonya tuu wadau kwa sababu mnaweza kutumbukia kwenye matatizo kwa kuwa huna uelewa wa mambo.
7d36eb58bd781b6d68467c0545cd50da.jpg
 
Hiyo bei uliyoiandika labda ni kwa matoleo mapya sio kwa matoleo ya miaka sita nyuma huko. (Hapo pia sijasema kuwa seller ni mkweli maana bei aliyoiweka kwa muelewa unagundua kabisa hii biashara sio)
 
Ndo maana nasema ni Vyema Kutumia Ubongo kuliko kutumia Makalio Specification anazozungumzia zinaonesha ni Computer mpya mimi binafsi nazijua zenye Intel Core i5 hizi ndiyo mpya kwa apple lakini yeye amesema ina Intel Core i7 ni Computer Latest ambayo inaweza kuuzwa hata 7,000,000 na ina HDD 700GB Tumia akili za Kuzaliwa 2009 hatukua na i7 wala i5.
Mashine hizi Pia zipo katika Ofisi ya Rais pale Ikulu.
 
Sijui kwanini umetaka kuigiza kujua sana katika huu uzi. Kuhesabu pia hujui?? 2016 - 6 = 2009??

Ndg Hapo umekurupuka. Niliandika miaka sita nyuma nikimaanisha 2010 ambapo unaelewa kabisa kulikuwa na options za Apple's Core i3, i5 & i7 iMacs (mid-2010)

*****
Tumia lugha nzuri mbona bado tuu utaonekana unafahamu na ukijifanya unajua sana wapo wengi wanaojua zaidi yako na kujifanya kwako unajua sana ndipo kunafanya uonekane bado unahitaji kujifunza zaidi.
fc363bbbce1e69894efc5c0934a75ef3.jpg
 
Ndo maana nasema ni Vyema Kutumia Ubongo kuliko kutumia Makalio Specification anazozungumzia zinaonesha ni Computer mpya mimi binafsi nazijua zenye Intel Core i5 hizi ndiyo mpya kwa apple lakini yeye amesema ina Intel Core i7 ni Computer Latest ambayo inaweza kuuzwa hata 7,000,000 na ina HDD 700GB Tumia akili za Kuzaliwa 2009 hatukua na i7 wala i5.
Mashine hizi Pia zipo katika Ofisi ya Rais pale Ikulu.

ImageUploadedByJamiiForums1462532603.379193.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1462532651.715188.jpg

Mkuu lugha nzuri inafaa zaidi kuliko hiyo yako. Hiyo ni Mid 2010 na iCore 7 ona hapo juu
 
Kuweni Makini na msipende vya bure na mtumie akili zenu hiyo Computer yenye sifa kama hizo tena i5 huuzwa TZS 4,500,000-5,500,000 Jiulize i7 itauzwa bei gani nawaonya tuu wadau kwa sababu mnaweza kutumbukia kwenye matatizo kwa kuwa huna uelewa wa mambo.
7d36eb58bd781b6d68467c0545cd50da.jpg
mkuu mimi nakupa kwa guantee ikiwa utampelekea mtaalam wako akakwambia sio yenyewe utarudishiwa pesa yako. Its genuine iMac 27''. Ukilog in tu kwanza it will tell you, hasa utakapoingia iCloud thru this machine. Nina uhakika kwa sababu nilinunua mpya and then nine-link na iPhone & iPad na ziko connected vzr tu. So kwa $1,000 is more than fare
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom