Bicycle for sale

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,084
8,383
Bought brand new in 2014 from Specialised bikie shop $1,150

Specialised bicycle, size 29, giant, 27shimano gears, front & rear disc brakes, lockable rockshock shock absorber, free foot pump & Lock

Price 800,000Tsh

Reason to sale no time to ride anymore.

All are originals parts made in New Zealand, good tyres, no punctures tube!
ImageUploadedByJamiiForums1461868176.558156.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461868228.661198.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461868278.143593.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461868318.063711.jpg
 
Ukitaka nikuletee brand new mountain bike kutoka south Africa kwa bei ya 600,000 tu co chines
 
Mkuu hakuna shaka, sijagoma. Mm nimeweka specs zake hapo na risit ninayo ila iko fade haionekan vyema. Je yako ni specialised brand pia au replica ya hii?
 
Bought brand new in 2014 from Specialised bikie shop $1,150

Specialised bicycle, size 29, giant, 27shimano gears, front & rear disc brakes, lockable rockshock shock absorber, free foot pump & Lock

Price 800,000Tsh

Reason to sale no time to ride anymore.

All are originals parts made in New Zealand, good tyres, no punctures tube!
View attachment 343137View attachment 343138View attachment 343139View attachment 343140
Kweli unaiuza kwa bei ya hasara.
Mbaya zaidi bei unayouza inatosha kununua pikipiki second hand.
Kwa mamlaka niliyo nayo, nafungua milango ya wateja serious, washindane bei hadi uweze kuuza baiskeli hiyo kwa bei nzuri itakayo ufurahisha moyo wako na kukufanya usiamini kilichotokea.
 
Mkuu ile avatar umeiacha?
 
Back
Top Bottom