Sad News: e.Tv : We’re saying goodbye to WWE

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,951
2,000
Kwa wale wapenzi wa WWE kupitia channel pendwa ya etv kuanzia Sept 1 hakutakua na vile vipindi vya mieleka kupitia channel yao ya e kutoka sauz. Hii ni kutokana na mkataba kati ya kituo na wamiliki wa WWE. Kwa hiyo wale tuliokua tunawahi sa 12 jioni jumamosi na jumapili kuwatch mieleka tuendelee kusikilizia kupitia channel nyingine..............

Marlon Davids, Managing Director of e.tv Channels says that the decision not to renew the WWE contract was not taken lightly. “e.tv has been the home of WWE in South Africa since 2001, but international rights contracts like this are complex,” he says. “After reviewing our renewal options, we decided to focus instead on the direction our entertainment lineup has been taking over the last 12 months.”

“We’re thrilled with the way our viewership numbers have grown, thanks to the local and international drama, comedy and reality shows which have found a home on the e family of channels,” says Davids.

“As sad as we are to see WWE leave its home in South Africa, we’re confident that our audience will keep embracing the channels’ new direction and continue to be entertained by the fresh and engaging content which e.tv and the e family of channels currently hosts – and has plans to expand in the future.” Says Davids.

Over the last year, e.tv has become home to a host of new local shows, including Broken Vows, Harvest. The content strategy has included award-winning international series like How To Get Away With Murder, Empire, Hostages, Ray Donovan, Black-ish and The Fixer.

WWE programs will be replaced by back-to-back family movies on Saturdays and Sundays.

On weekdays it will be replaced by House, an American television medical drama - another first for the Free to Air market.
 

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,301
2,000
teknolojia imekua sana siku hizi sio lazima kuangalia tv tena..kila kitu unakipata kwenye mtandao..kwani wwe hawana utube channel??? msilie sana
 

Aqua Man

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
290
1,000
Ntaangalia highlights zao kupitia youtube

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
40,509
2,000
Dstv ndio wamechukua rights za kuonesha WWE
Watatangaza Channel itakayo tumika kuonesha
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,195
2,000
hivi wale

wanaichi wa pale Morogoro na kule Nsangamwalugheshi kwa akina al watan wanajua hata yutubu kweli?
....Acha kashfa mimi niko Morogoro kijiji cha Lunenzi muda huu naangalia Isidingo the needs episode ya 88 via you tube, hii ni episode ya jana kule South
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom