Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,083
- 8,374
Kwa Tz je kuna tofauti ya mafuta petrol ya premium na unleaded?
Nchi za ulaya kuna zile pipe za blue na red, na bei ni tofauti kati ya petrol red vs blue. Lkn tz bei ni moja tuuu kwa petrol zote, je ni usanii au kweli kuna utofauti wa hii bidhaa kwa Tz