Uhusiano kati ya harufu mbaya na kutema mate

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,950
2,000
Si mwanaume au mwanamke mara pua zikipitisha hewa yenye perfume (harufu) mbaya wengi hutema mate. Kwa wajawazito huhusiana na ishu za hormone, je kwa wengine ambao sio waja wazito hua mnatema mate kupunguza harufu au ni imani tu?

Wajuzi mje mtujuze
 

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,399
2,000
Kwa asili harufu ni kemikali katika kiwango cha chini inayopenya kwenye mlango wa fahamu(pua) na kuamsha hisia mwilini.....kutema ama kumeza mate ni response ya mwili inayotokana na aina ya harufu (kemikali) iliyovutwa kama ni mbaya ama yenye kuvutia.
Kwa kifupi ndo hivi nijuavyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom