Search results

  1. fmlyimo

    Kwanini Mchungaji Mtikila aliililia sana Tanganyika ambayo haipo badala ya Tanzania tuliyomo!

    Ndio maana Watanganyika wanataka kuwe na Serikali yao ya Tanganyika ambayo hapaswi kuwemo mtu asiye Mtanganyika.
  2. fmlyimo

    Kwanini Mchungaji Mtikila aliililia sana Tanganyika ambayo haipo badala ya Tanzania tuliyomo!

    kwanini wewe usimtazame Mtanganyika kama Mtanzania anayestahili kupewa wadhifa wa ukuu wa wilaya ya Tanzania iliyopo Zanzibar
  3. fmlyimo

    Kwanini Mchungaji Mtikila aliililia sana Tanganyika ambayo haipo badala ya Tanzania tuliyomo!

    Mmarekani wa jimbo lolote anaruhusiwa kufanya kazi na kumiliki ardhi katika jimbo lolote.
  4. fmlyimo

    Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Mbagala Rangi Tatu. Usawa wa pale wanapojenga daraja la juu la watembea kwa miguu
  5. fmlyimo

    Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
  6. fmlyimo

    Mafia: Wavuvi wapoteza maisha baharini baada ya samaki aina ya Potwe kuvuta nyavu zao

    Poleni sana ndugu zangu wa Tumbuji, wazee wa dagaa. Mungu awalaze pema peponi marehemu wavuvi. Aluta kontinua!
  7. fmlyimo

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  8. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Wale wenye shule zinazohudumia mambo ya misosi, muda huu wa likizo ni muda muafaka wa kuandaa kuni za kutosha. Shule zikifunguliwa maswala ya misosi yanaendelea bila kusuasua. Karibuni sana mjipatie kuni za ukweli kwa bei nafuu sana.
  9. fmlyimo

  10. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Mzigo upo huru, una baraka na vibali vyote vya serikali. Karibu.
  11. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Mzigo umeshachambuliwa, wa kwenda nje umeshaenda, uliobaki unauzwa kama kuni
  12. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    *Ofa ya Xmas na Mwaka Mpya* Punguzo kubwa la bei ya kuni. Jipatie tani moja kwa 120,000/= tu. Mzigo upo Dar, una vibali vyote vya serikali. Wahi mapema kabla mzigo haujaisha. Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
  13. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Ndiyo, unaletewa mzigo hadi mlangoni. Karibu sana
  14. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Vibali vipo kamili kabisa. Huu mzigo ungekuwa wa magumashi nisingesubutu kuutangaza humu, kwani najua watu wa mazingira kama nyie mpo humu ndani.
  15. fmlyimo

    Kuni zinauzwa

    Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule. Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200. Mzigo upo Dar es Salaam. Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu. Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi...
  16. fmlyimo

  17. fmlyimo

  18. fmlyimo

    Tunanunua Mashudu ya Alizeti

    Karibuni sana
Back
Top Bottom