Search results

  1. Ndikwega

    MaBoss Wetu na Uongozi wao

    Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika. Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia...
  2. Ndikwega

    Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Salaam! Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki. Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka. Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
  3. Ndikwega

    Gari kutikisika Injini ikifikia speed 100Khr na kuendelea!

    Habari ya Majukumu Wakuu! Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini. Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake! Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake...
  4. Ndikwega

    Nitajuaje gari inachemsha?

    Habari ya Majukumu humu Ndani. Naomba kusaidiwa hiyo hoja. Je, nitajuaje gari yangu inachemsha? Gari yangu nimeona haya, Je ndiyo Kuchemsha au mwanzo wa Kuchemsha? 1.Maji nikiweka yemejaa Mpaka Juu, nikiwasha gari baada ya muda nikazima nakufungua Radiotor naona maji hayaonekani...
  5. Ndikwega

    Naomba Kujua Ipi ni Injini Nzuri ya gari kati ya Petrol ama Diesel

    Wakuu Salaam. Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel. Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili. Interms of Durability na Performance. Naombeni Michango yenu.
  6. Ndikwega

    Naomba Kujua Service ya IST

    Salaam Wakuu! Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service. Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka...
  7. Ndikwega

    Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  8. Ndikwega

    TANESCO tuambieni nini kinaendelea huko Mbeya maana umeme kukatika imezidi sasa

    Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku. Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi. Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka wanayafungulia yatoke lakini Umeme katika Siku nzima unawaka si zaidi ya Saa 6 hivi. Tafadhalini acheni...
  9. Ndikwega

    Msaada: Home Theatre yangu spika ndogo mbili hazitoi sauti!

    Habarini wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000. Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki uliimba speaker ndogo zote nne ndaefu, ila kuanzia nadhani kesho yake sauti zikakata mbili zikabaki...
  10. Ndikwega

    Naomba Kufafanuliwa kuhusu Gari aina ya Toyota Belta

    Wasalaam Wanajamvi, Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi. Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja? Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni! Toyota Belta
  11. Ndikwega

    TVs: Naomba Ufafanuzi wa haya Maneno

    Habarini Wanajamvi. Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs). 1. Smart 2. Smart uhd 4k 3. Smart Android Uhd 4k Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango wako utanifaa Mkuu
  12. Ndikwega

    Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

    Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
  13. Ndikwega

    Mjadala: Hivi nani kati ya mama mzazi au mke akae kiti cha mbele ikiwa wote wamo ndani ya gari?

    Salaam kwenu wana MMU! Naleta kwenu mjadala huru huu. Hivi ikatokea kwa pamoja ukapata aidha safari ama mizunguko mkawa na mama yako mzazi, kama mwanaume ndiyo unaendesha gari hilo yupi kati yao, yaani mama ama mke atakaa mbele na mwingine nyuma ya gari. Nimezungumzia mmoja akae nyuma mwingine...
  14. Ndikwega

    Maalim Seif akamatwa na Polisi huko Visiwani Zanzibar, Polisi wakana kumshikilia

    Salaam! Aliyekuwa Kaibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na baadaye Kuachana nacho kisha kuhamia ACT-Wazalendo Maalimu Seif Sharrif Hamad amekamatwa na Polisi huko Zanzabar Leo hii. Source DW. Naona huu ni Muendelezo wa Hofu na uoga wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Magufuli juu ya...
  15. Ndikwega

    Humphrey Polepole Uko Wapi?

    Naomba Kuuliza Katibu Mwenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Uko wapi brother? Siyo kawaida saana Kupoa muda wote huu wakati wewe ni mwenezi wa CCM. Tukiachana na kupotea Kwako, tungeomba kusikia maoni yako juu ya Saga linaloendelea na tulitegemea utoe maoni yako hata kabla ya Katibu mkuu wako...
  16. Ndikwega

    Msaada Ku-Unlock Simu Tecno Spark 2

    Habari wanajukwaa! Kama heading inavyojieleza, msaada wenu Jinsi Kufungua Tecno Spark 2 maana Mdau Kasahau Password. Natanguliza Shukrani zangu za dhati Kwenu!
  17. Ndikwega

    Kimchina Changu, Tecno kinagoma Kudownload WhatsApp App, imeandika 'Download Pending' nifanyaje Wandungu ili Kutatua Changamoto hii?

    Salaam! Kama heading inavyojieleza, Natumia Camon CX Air, kwasasa ni Mwezi sasa, Kila nikitaka Ku Update WhatsApp Messenger, kwenye Update pale nibofya inaniandikia 'Download Pending' na Data inakuwa kama vile Zimeenda Sufuri na haziko Active! Ila nikienda Program zingine hazina shida inaenda...
  18. Ndikwega

    Watanzania Watakapoamua Wenyewe, Watatafuta Uhuru wao bila Kuambiwa.

    Salaam! Ni mara nyingi nimekuwa nikiwaza kwanini Watanzania wapo kama wanafurahia hali ya Uongozi chini ya Utawala wa CCM ambao kiuhalisia ni dharimu. Watanzania kila mwaka wanashika mkia kwenye Mataifa yenye Furaha Duniani. Bado tunavumilia tu! Wengine wanadai Watanzania ni Wavumilivu tu ila...
  19. Ndikwega

    Huyu ni nani na amefanya fujo gani hadi Rais Magufuli kuamuru akamatwe na kutiwa ndani huko Mbarali?

    Rais Magufuli amesikaka akiamuru walinzi wake wamkamata mtu aliyekuwa akifanya fujo kwenye mkutano wake huko Mbarali. 'Wewe usinifanyizie Fujo kwenye mkutano wangu, Mkamate Kamuweke ndani akajifunze huko, nimemuona muda mrefu' maneno ya Magufuli. Je, huyo Raia ni Nani na amefanya fujo gani, na...
  20. Ndikwega

    Watumishi wa Umma Tujadili la Kufanya endapo hata Mwaka huu Rais kwenye Mei Mosi atatoa Majibu kama aliyotoa Iringa!

    Salaam! Wandugu zikiwa zimebakia Sikh 12 tu Kufikia siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi. Kama tulivyokwisha Kusikia Kauli za Viongozi Mbali mbali akiwemo Waziri wa Utumishi wa Umma, George Mkuchika, Waziri wa Kazi Jenister Mhagama pamoja na Naibu Spika Tulia Jackson Mwansasu akishirikiana...
Back
Top Bottom