Umefanya hivyo?Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada!
Omba email and password then zihakikiNi ya Kwake Mkuu, ni Wife.
Hawa watu ni careless kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo we subiri kupewa manung'uniko na lawama kama umeharibu wewe na unaweza nyimwa hah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina mama mungu anawaona mjueNi ya Kwake Mkuu, ni Wife.