TAFADHALI, TAFADHALI USIJINYONGE WALA KUCHUKUA MAAMUZI YA HATARI.
Ndio biashara zilivyo, kikubwa ni uvumilivu na kubadili mbinu, na mambo yakiwa magumu zaidi unaweza kubadili aina ya biashara, usilazimishe ufanikiwe kwenye biashara ambayo inakumalizia mtaji mwisho utabaki mikono mitupu.
Habari za leo WanaJamvi.
Naomba kujua,
Tulitangaziwa kuwa Tozo za serikali zimeondolewa kwenye miamala ya simu Tangu Tarehe 1 Julai 2023.
Lakini Nashangaa hadi Leo Tarehe 21 Julai 2023 Nikitoa Pesa TIGOPESA Nakatwa Tozo ya Serikali, Kulikoni?
Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo.
Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali:
1. Dereva wa...
1. Epson l3150 inafanya manual duplex.
Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers
2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.
Inategmea na biashara husika, kama mamalishe na ni waislamu ni bora wafunge tu. Na ndio maana biashara nyingine za waislamu zipo wazi kama vile maduka ya nafaka *mchele, unga, n.k) kama unaweza nunua upike mwenyewe.
Usitake kulazimisha mtu aliyefunga aanze kukarangiza chakula kwa ajili yako...
Biashara ya Stationery
Biashara ya Genge la Kisasa
Biashara ya Dagaa nyama kutoka Tanga
Mini Printing Office (vikombe, t-shirt, n.k)
Biashara ya Kuuza Mashuka na Viatu vya kike.
Habari wakuu,
Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
Kwanza sio lazima kujua hayo mambo, kama mtu ni mwalimu wa biology au physics itamsaidia nini kujua angola ipo bara gani?
Labda kama ni mwalimu wa geography ndio anatakiwa kujua hizo locations.
Kuna sehemu wananunua kilo 1 ya korosho Tsh 1,400 aisee huu ni ukatili.
Mimi sio mkulima ila nawahurumia wakulima. Imagine unauza kilo 1 ya korosho unapata pesa ambayo haiwezi kununua hata kilo 1 ya unga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.