Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Aisee panya wamekata zile flex cable za ndani pamoja na tube za wino kwenye epson l382.Vipi inaweza tengenezeka hii?
 
Boss wangu anatafuta fundi wa EPSON L850 inatakiwa kufanyiwa service maana inavuta karatasi upande mmoja
 
Msaada Nina Epson nimetoka nayo urope ni EPSON WORK FORCE 3820 nahitaji chiples softwear iwe inatambua REFILED INK nisitumie premier catridged
 
Printer inapomaliza kuprint, au inapowaka imekua programmed kusafisha nozzle ili zisi clog, usafishwaji hufanyika kwa kutumia wino uliopo kwenye mitungi, ule wino humwagwa kwenye pad iliyo mithili ya sponge inakua ndani ya printer yako, sasa baada ya matumizi ya muda mrefu hilo sponge hujaa wino hivyo inatakiwa ibadilishwe iwekwe sponge jipya, sasa kuepuka usumbufu wa kubadili sponge huwa unawekwa mrija kupeleka waste ink nje ya printer, hapo utakua na kichupa kwa nje kitakua kinakusanya mabaki ya wino wote utakaotumika kusafisha printer.
Ndo maana basi L3050 kila nikiibeba huwa inamwaga wino mweusi chini. Itakuwa basi uchafu umejaa hapa.
 
Inaweza kuprint 2 sided, mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu. Saivi kila nikikomand inaprint page moja kisha inawasha taa nyekundu
1. Epson l3150 inafanya manual duplex.

Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers

2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.
 
Back
Top Bottom