BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
Kupata baraka sio guarantee ya mafanikio.Mkuu nilikua dar nina biashara flani ikafa nikaamua kuingia mkoani kusaka life nikaanzia tunduma mambo sikuyaelewa nikaenda mgodini chunya huko mambo sikuyaelewa pia nikaamua kuja mwanza nikaanza hii biashara nayenyewe ndio hivi yani acha tuu, toka dar watu wananiambia niende home nipate baraka ndio nirudi kupambana itabidi niende mkuu coz mara ya mwisho home nimeenda 2015.