Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

Mkuu sasahivi tunafanya opposite bet kupitia kampuni ya ISS (International Soccer Investment) ambapo huwezi POTEZA hela yako utapata kila siku kwa kununua michezo miwili tu kwa siku ukitaka kufahamu zaidi jisajili hapa
https://m.iss001.com/signup?code=62677020
kisha nicheki WhatsApp 0788326723 nikuelekeze upate faida
Sharing is Love😊
 
ACHA KUBET

HIYO NI KAMARI NA KAMARI NI KUBAHATISHA

TAFUTA KAZI HALALI ITAKAYOKUINGIZIA KIPATO CHA HALALI
 
Hata hivyo sidhani kama unaujua mchezo unaoubetia, jiunge kwenye nagroup yao utatoa odds na timu huko huko
 
Tafuta odds 1.3 mpaka 1.5 weka mzigo wa kutosha
Kwanini Odds zinapewa 1.3 ?

Utaona kwamba Event inayopewa 1.3 ni kwamba ikifanyika mara 10 uwezekano wa kushinda huenda ikawa ni mara 7 na badala ya kupewa odds fair kwa such an invent ya angalau 1.45 unapewa 1.3 na hapo bado Serikali hajachukua chake....

Kwahio utaona ukicheza mara kumi kwa 1.3 kwa tshs 1 /= mwisho wa siku utapata Tshs 13/= kabla ya kodi (ila probability ishawekwa kwenye hio event wanajua kabisa uwezekano wa kupoteza 3 katika 10 hivyo ukishinda hizo saba utakuwa na Tshs 9.1/= wewe umewapa Tshs. 10 hivyo hasara ya 0.9/=

In the end the House always wins (kwanini sababu odds are stacked againts the Punter); Ukicheza kwa muda mrefu eventually utawarudishia tu na faida utawapa....

You wanna make it in this industry ?; Become a Bookmaker
 
Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama kwenye basketball Mambo n Yale Yale tu unaweka 0ver 150 na wao point zinaishia hapo hapo kwenye 150 unabaki kujuta tu. Ambao mshajitafuta mkajipata hebu mtueleweshe na wengne na michezo ambayo Ina afadhali maana hapa nishajarbu Zaid ya michezo minne valleyball.basketball .futsal.ice hockey.football aise Hali n mbaya tu japo huwa najipa Sheria Kali akuna kuzidisha oddds2 lakn wapi nkipigo tu
Cha kwanza hakuna kampuni ya betting yenye kuweza kutajirisha kila MTU!
Ukikaa na, simu yako unapokuwa una bet, unajiona kama upo peke yqko kwenye game, ! Mpo, zaidi, ya, milioni +na, kila, MTU anawaza, awe milionea! Ni akili za, hovyo Sana!
Kwa, watu wenye mkwanja mnene,betting is just a game, kuna jamaa huwa, nawakuta le grande casino, dar, wanacheza kamari,wale hata wakiliwa milioni 500,kwao, sio, ishu, kubwa, ni, peanut tu! Ila, wewe apeche alolo! Utegemee ka salary kako, kufanya betting, ni kujizika
 
wanaobet wanajua ukweli kuwa betting si kubahatisha tu, umakini katika kuchagua options na team unayochagua.
ndio maana kuna ambaye anaishi kwa betting.
tamaa na taarifa zisizo sahihi kuhusu mchezo/team ni adui wa betting.
Mkuu kama unaweza consistence jaribu* roll over* betting ya 14 days at 1.5 odds. utafurahi
(niliijaribu ikafia kwenye m9.7)
 
Kuna dogo anapiga hela sana sijui anatumia mbinu gani juzi kaweka laki 2 kapiga milion 5 game 9
wanaobet wanajua ukweli kuwa betting si kubahatisha tu, umakini katika kuchagua options na team unayochagua.
ndio maana kuna ambaye anaishi kwa betting.
tamaa na taarifa zisizo sahihi kuhusu mchezo/team ni adui wa betting.
Mkuu kama unaweza consistence jaribu* roll over* betting ya 14 days at 1.5 odds. utafurahi
(niliijaribu ikafia kwenye m9.7)
 
Kuna dogo anapiga hela sana sijui anatumia mbinu gani juzi kaweka laki 2 kapiga milion 5 game 9
huyo anabet kibiashara. nadhan watu wengi wamekariri bahati kwenye kubet michezo (na hawatofautishi na ma kamari ya mashines!) lakin na uchambuzi wa timu, mchezo ni muhim zaidi. uzoefu wangu ni bora kubet option kubwa mechi moja kuliko mechi nyingi eti vi options vidogo!
Kuna mshikaji aliuza bajaj yake baada ya kuzinguliwa na dreva wake, akaamua kila siku anastake milion, odds hazid 1.3 mechi za siku nzima.
ana mwaka hajapoteza!
 
achana na betting hizo ni roho za umasikini na ufukara hakuna tajiri au millionea amewahi tajirika kwa kubeti.

Kama Betting imekuwa uraibu wako nguvu ya kuacha kwa akili zako ni ngumu sana unahitaji msaada wa kiroho ili uepukane na hizo roho.

Yesu pekee anaweza kukutoa huko ukimkabithi maisha yako na atakupa nguvu za kushinda dhambi kupitia Roho mtakatifu. utakapo okoka na kuwa kiumbe kipya
 
Back
Top Bottom