Mika_Graphix

JF-Expert Member
May 21, 2021
401
1,281
Za asubuhi wanaJF.

Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi.

Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA?

Share designs uliyotengeneza kwa kutumia hii software ya CANVA.

Natumai kwa wale wote ambao hawaifahamu ni mwanzo mzuri wa kuifahamu. Uzi moto moto kwa kuielezea canva ni nini ina matumizi gani na kwanini niielezee unakuja hivi karibuni.

kama unahitaji business card, logo au posters kwa ajili ya biashara yako nichek whatsapp sasa hivi.

A1CC5801-1B75-44FD-8547-2B59FCB92BB4.png


NAMBA ZANGU NI 0622819067
 
Kweli unatumia 'canva.com' afu
unataka u compete kwenye soko la graphics desgn & multimedia???
au unafanya for fun tu??
 
Niliitumia Canva kutengeneza simple youtube videos.

Mzuka ukakata nikaitekeleza na account huko.
 
Canva ni nzuri sana katika kuandaa Social media posts, Certificates na presentations.

Kuna baadhi ya kazi kama logo na 3D Canva haipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom