desktop

A desktop computer is a personal computer designed for regular use at a single location on or near a desk or table due to its size and power requirements. The most common configuration has a case that houses the power supply, motherboard (a printed circuit board with a microprocessor as the central processing unit (CPU), memory, bus, and other electronic components), disk storage (usually one or more hard disk drives, solid state drives, optical disc drives, and in early models a floppy disk drive); a keyboard and mouse for input; and a computer monitor, speakers, and, often, a printer for output. The case may be oriented horizontally or vertically and placed either underneath, beside, or on top of a desk.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Desktop recording software

    Wakuu habari, Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya. Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo haina watermark na output yake ikawa ni mp4. Chief-Mkwawa
  2. Mkushi Mbishi

    Msaada kutumia whatsapp kwenye desktop

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima. naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili linawezekana.maana nimejaribu kutumia kwenye bluestacks 5 lakini inacrush kila...
  3. mathsjery

    Je, nitumie electron kudevelop desktop App?

    Hii itakuwa mara ya kwanza kuunda desktop app na nataka iwe na uwezo wa kudai licence key sitaki mambo mengi lakini nachotaka ni ushauri maana sikuwahi kuunda desktop app kwa maisha yangu yote. Kinacho nifanya nifikie hatua hii nikwamba nataka user au mteja aitumie kwenye machine yake but...
  4. F

    Apple MAC PRO ni Game changer Kwa workstation content creators, gamers, Coders

    Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production . Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za production. Chip ya M2 Ultra mpya - chipu yetu yenye nguvu na uwezo zaidi kuwahi kutokea. 24-core...
  5. Herymiller

    Computer4Sale All-in-one computersdell inspiron 22 3280 all-in-one desktop

    Habari Wakuu, Kuna Dell Desktop all in one 6pc @800,000/=. Kindly Mkuu
  6. Mpinzire

    Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 9th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RGB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz 8 Threads RTX 2060 Super 8GB Power Supply Modular 600W Wi-fi Adapter 5 RGB FAN Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.👇🏾 Rendering ✅ Video Production ✅ Graphics Design✅...
  7. sanalii

    Leo kivumbi, wote tuko kitandani ila desktop imewashwa

    Nipo kitandani, nashangaa desktop inawashwa, kwenye meza hakuna mtu. Wala hakuna paka labda kusema kaminya sehemu. Hii si balaa?
  8. Orketeemi

    Msaada. Nifanyeje desktop icons zionekane

    Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
  9. Mfagio

    Computer4Sale Desktop inauzwa bei nafuu

    Hdd : 1TB. Location : DSM. Price : 700,000.
  10. monotheist

    SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
  11. B

    Natafuta desktop complete

    Iwe complete Ram 500 4 gb Bajeti 200,000 Naomba kuwasilisha
  12. African Geek

    Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  13. Teja Junior

    Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

    Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano. Ahsante
  14. G

    Nauza Harddisk za desktop /CCTV camera

    Nimo na Harddisks za desktop/CCTV Camera naziuza 500gb= Tsh. 35000/= 1TB = Tsh. 90000/= 2TB = Tsh. 110000/= 3TB =Tsh. 130000/= 4TB = Tsh. 160000/= Napatikana Kariakoo, mtaa wa Likoma... simu/ whatsap 0673330618
  15. sky soldier

    Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  16. M

    Computer4Sale Desktop computer

    Nauza destop Aina ya dell Bei 170,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali: Imetumika Mahali: Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0658 106 630 Karibu.
  17. Dr. Zaganza

    Apple desktop zimewasili na ofa ya vitabu

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
  18. G

    Harddisk za desktop

    mahitaji ya Harddiski za Desktop unaweza wasiliana nami tupo Kariakoo, Dar es salaam
Back
Top Bottom