Nimepata Tsh 3.5 milioni. Nifanye biashara gani?

Baada ya kuchapika Sana, nimepata TSH 3.5milioni naomba msaada nifanye biashara gani, ambayo ni simple to manage and daily return isipungue elfu kumi na tano.

Hope nimeeleweka, just starting from scratch
Kama upo Town anzisha mgahawa, upike vyakula vizuri na usafi utanishukuru

USSR
 
Baada ya kuchapika Sana, nimepata TSH 3.5milioni naomba msaada nifanye biashara gani, ambayo ni simple to manage and daily return isipungue elfu kumi na tano.

Hope nimeeleweka, just starting from scratch
Nunua robot la forex na VPS weka pesa litrade uvune pesa kama unafanya biashara.
mtaji tosha .
 
  1. Biashara ya Stationery
  2. Biashara ya Genge la Kisasa
  3. Biashara ya Dagaa nyama kutoka Tanga
  4. Mini Printing Office (vikombe, t-shirt, n.k)
  5. Biashara ya Kuuza Mashuka na Viatu vya kike.
Stationery ukiongezea na financial services (mpesa, sim banking, etc) ni biashara nzuri ila uwekezaji wake naona hiyo 3.5 haitatosha. Labda kama atakuta miundombinu ya hiyo biashara ipo.
 
Baada ya kuchapika Sana, nimepata TSH 3.5milioni naomba msaada nifanye biashara gani, ambayo ni simple to manage and daily return isipungue elfu kumi na tano.

Hope nimeeleweka, just starting from scratch
Nakukabidhi frem ya mil 1.5 iliyobaki tafuta mtaji ufanye, frem itakuwa yako milele
 
App fanya biashara ya kukopesha kwa riba ndani ya miezi sita ushakuza mtaji wa kutosha, uzuri wa biashara hii soko lipo tayari
 
Back
Top Bottom