Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

Kelela

Senior Member
Nov 7, 2020
186
269
Habari wakuu,

Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
 
Habari wakuu, nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe , Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
Nenda TRA na card yako original. Zamani gharama ilikuwa 10,000/ sijui sasa gharama zikoje
 
Na mfano nikataka kuweka jina langu officially kwa pikipiki kama wanavyowekaga kwenye gari inagharimu Tsh ngapi??
Jf banner Uhakika bro.jpg
 
Nenda TRA na card yako original. Zamani gharama ilikuwa 10,000/ sijui sasa gharama zikoje

sasa hivi ni 20,000 ila achana na TRA

Wewe nenda kiboko ofisi za mkoa husika ongea nao wape kadi wakuandikie njano(binafsi) mbona haina haja ya mizunguko.

ila mimi ningekuwa wewe ningewaambia hawa wachoraji ananidizainia kibao chenye font mfanano na orijino anakipiga njano

kwisha habari
 
Habari wakuu,

Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo.

Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
Mkuu artist kibao mtaani mwambie weka plate number ya njano kesi inaisha.usipende kuja ofisini kusumbua kwa vitu vidogo kama hivi.
 
Back
Top Bottom