JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,091
- 4,716
Ni kweli kwamba kila mwenye biashara yake ana imani zake za kidini ila sasa wateja mbona ni wa dini zote.
Iweje biashara zako zinahudumia dini zote alafu leo umeamua kisa una mfungo ndo ufunge hadi biashara? Mteja anataka akakae zake ndani ale ice cream na laptop yake unatoa maagizo hakuna mteja kukaa ndani viti viko juu ya meza.
Hatukatai wew una dini yako ila wateja wako siyo wa dini yako tu, kila mtu ana imani yake kama kafunga atafunga, ambaye hajafunga muache aendelee na huduma. Kumbuka biashara yako imejengwa na wateja wa imani zote hadi kukufikisha hapo ulipofika usitake kufosi imani zako kwa wateja wako wengine.
Sasa hii shida gani ukipita kariakoo migahawa kibao imefungwa, au basi na sisi wa imani zingine tususie biashara zenu mkimaliza kufunga muendelee kuuza futari hizohizo tuone.