Search results

  1. Rumi96

    Msaada wa bidhaa za kuagiza China, zinazouzika Dsm.

    Wakuu habari ya majukumu! Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika, natanguliza shukrani.
  2. Rumi96

    Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  3. Rumi96

    Msaada namna ya kusafirisha mzigo kwenda Lahore, Pakistan

    Wakuu! Habari ya majukumu. Naomba msaada wa kampuni ya usafirishaji kwenda Pakistan, gharama kwa mzigo wa nusu kilo, iwe kwa ndege au meli. Mzigo ni iliki. Natuma sample nusu kilo, akiipenda, nitatakiwa kumtumia kama kilo 100+. Natanguliza shukrani.
  4. Rumi96

    Naomba kujuzwa bei ya Iliki ya kijan (Green cardamom) na eneo

    Habari ya asubuhi wakuu. Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake. Natanguliza shukrani.
  5. Rumi96

    Mr. Nice hakujua mziki ni Upepo tu ulimpitia

    Wakuu! Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi. Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu. Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu...
  6. Rumi96

    My Dear Ex Girlfriend

    Salaam wakuu. Mpenzi wangu najua mimi ndiye nilitaka tuachane na hii ilitokana na kupata binti mwingine. Leo siku ya pasaka, ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nikuache, nazidi kukukumbuka kwa mengi. Hii imepelekea kujifunza mambo mengi ambayo kwa wakati unanifanyia nilikua nayaona kama...
  7. Rumi96

    Kuna hii Clip ina trend, nina shida na huo wimbo

    Wakuu, kuna clip ina trend, jamaa analia kisa Rehema. Naomba anaeujua wimbo anisaidie, nimejaribu kuutafuta kwa Shazam, imeshindikana.
  8. Rumi96

    Je, Hormone kuwa zaidi ya kiwango zinasabishwa na P2?

    Wasalaamu wakuu! Ikiwa mapambano dhidi ya Covid-19 yakiendelea, naomba msaada wenu. Nina mpenzi wangu, katika harakati za kuzuia kupata mimba tukiwa shule, alikua akitumia P2. Kuna wakati alipata mabadiliko ya mwili, hasa matiti kutoa maziwa, akamuuliza mama yake akamwambia aache kutumia dawa...
  9. Rumi96

    Msaada kwenye Excel

    Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined. Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4). Nimefanikiwa ila baadhi ya cell zipo blank nataka cell zilizo blank semi colon isitokee, msaada tafadhali. Maama semi...
  10. Rumi96

    Natafuta Display ya PC TOSHIBA.

    Wakuu habarini, Natafuta display ya PC toshiba, Mlango wa CD na keyboard. Na bei zake itapendeza. Na fundi mzuri.. Nipo mkoani wiki ijayo nitakua DSM ili nijue nijipange. Ahsanteni.
  11. Rumi96

    Je, naweza ku upload videos na audios kupitia blog yenye blogspot.com

    Wakuu habarini , katika kujaribu kupekechua nimejikuta natengeneza blog ya bure kupitia blogspot ila sina elimu nzuri kuhusiana na haya mambo. Naomba kuuliza, je naweza kutumia hiyo blog nikapata kipato au mambo ya adsence na pia ni mamna gani naweza ku upload audios na videos? Natanguliza...
  12. Rumi96

    Kumbukizi za kufumania au kufumaniwa

    Wakuu habari za wakati huu. Basi, ikiwa ni hatua za kibinadamu kupita katika nyakati kadhaa, kwenye kila nyanja kuna changamoto. Wazee wa kusaka nyapu, tumewahi fumaniwa au kufumania. Binafsi nimewahi kumfumania kaka yangu miaka ya 2012 chumbani kwa beki tatu kipindi shemeji akiwa safari...
Back
Top Bottom