mwl rct

 1. mtakahela

  Tupeane mbinu kuhusu fursa za kibiashara zilizopo kwenye utalii

  Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu! Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa. Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani kutumia rasimali zilizopo kufanikisha jambo hili, mfano kutafuta watalii na kuwaunganisha na...
 2. Machozi ya Simba

  MSAADA: SCRAPPING WEBSITE DIRECTORIES

  Nimehangaika sana na hii ishu kwa leo, kuna website ya vichekesho inaitwa ackyshar.com shida yangu ninachotaka ni scrape i links za directoriy ya vichekesho vichelesho vipo kwenye directory hii "www.ackyshine.com/vichekesho" links zake ni kama "www.ackyshine.com/vichekesho:ajira-ngumu"...
 3. R

  Anayejua kutafsiri tracking ya mzigo anisaidie hapa

  Heshima kwa kila mdau.Humu ndo sijawai kukosa jibu. Niliagza mzigo ali express. Nimeambatanisha screenshot ya status. Sikuelewa mzgo umeshikiliwa au la.
Top